LibreOffice-Suite-Writer-6.3/C3/Creating-Newsletters/Swahili
From Script | Spoken-Tutorial
| Time | Narration |
| 00:01 | Karibu kwenye mafunzo ya Spoken Tutorial kuhusu Creating Newsletters |
| 00:06 | Katika mafunzo haya, tutajifunza jinsi ya: |
| 00:10 | Kuunda newsletters kwa kutumia LibreOffice Writer |
| 00:14 | Tumia chaguo la column break |
| 00:17 | Kagua word count |
| 00:20 | Tutajifunza pia jinsi ya kuongeza yafuatayo kwenye newsletter: |
| 00:25 | Image na Banner
Text animation na Watermark |
| 00:32 | Mafunzo haya yameandikwa kwa kutumia
Ubuntu Linux OS toleo 18.04 na LibreOffice Suite toleo 6.3.5 |
| 00:45 | Faili zilizotumika kwenye mafunzo haya zimewekwa kwako kwenye kiungo cha Code files kwenye ukurasa wa mafunzo haya. |
| 00:53 | Tafadhali pakua na futua faili hiyo |
| 00:57 | Tengeneza nakala kisha uitumie kwa mazoezi. |
| 01:02 | Newsletters ni publications ambazo husambazwa mara kwa mara kwa wanaojisajili. |
| 01:09 | Hutumika kuwasiliana habari za hivi punde, mawazo mapya na matukio |
| 01:15 | Newsletters kwa kawaida huwa na muundo wa multi-column |
| 01:20 | Hii humrahisishia msomaji kuona sehemu tofauti kwa urahisi. |
| 01:26 | Newsletter inaweza kuundwa kwa urahisi kwa kutumia LibreOffice Writer. |
| 01:31 | Hii hufanya usomaji wa makala kuwa rahisi na wa haraka. |
| 01:36 | Fungua faili Newsletter.odt |
| 01:40 | Ipo pia kwenye kiungo cha Code files kwa mazoezi.. |
| 01:45 | Sasa tutajifunza jinsi ya kuongeza columns kwenye document yetu |
| 01:50 | Kwenye Sidebar deck, bonyeza aikoni ya Page. |
| 01:55 | Bonyeza Styles gear kufungua kisanduku cha Page Style |
| 02:01 | Bonyeza kichupo cha Columns. |
| 02:04 | Chini ya Settings, chagua aikoni ya 2 columns with equal size. |
| 02:09 | Katika Width and Spacing, Autowidth itachaguliwa na Spacing ni 0.5cm. |
| 02:17 | Bonyeza kitufe cha Apply, kisha OK. |
| 02:22 | Funga Sidebar deck. |
| 02:25 | Angalia kuwa document yetu imebadilika kuwa muundo wa 2 columns. |
| 02:31 | Vinginevyo, tunaweza kuongeza columns kwa kubonyeza Format menu
Kisha kuchagua chaguo la Columns. |
| 02:42 | Sasa tuingize image kwenye newsletter yetu. |
| 02:47 | Weka kishale mwishoni mwa column 2 na bonyeza Enter mara tatu. |
| 02:53 | Bonyeza aikoni ya Gallery kwenye Sidebar. |
| 02:58 | Chini ya kitufe New theme, utaona folda za theme mbalimbali |
| 03:03 | Nitachagua folda ya Computers. |
| 03:07 | Kisha nichague Computer-Laptop-Black kutoka kwenye orodha.
Bonyeza kulia kisha uchague chaguo la Insert |
| 03:15 | Vinginevyo, tunaweza pia drag-and-drop hiyo image. |
| 03:20 | Close the Sidebar deck. |
| 03:23 | The inserted image fits the width of column 2 into which it was inserted. |
| 03:29 | Resize the image as shown. |
| 03:33 | So this is how we can add an image to the newsletter column. |
| 03:38 | Next, we will learn about the Column break option. |
| 03:42 | I will keep the cursor at the beginning of the fourth paragraph. |
| 03:47 | Now click on the Insert menu in the menu bar and then on More Breaks.
From the sub-menu select Manual Break. |
| 03:57 | Insert break dialog box opens up. |
| 04:00 | Under the section Type, select the Column break option and click on the OK button. |
| 04:08 | We can see that the paragraph shifted to the second column of the page. |
| 04:13 | Repeat the above steps for the last paragraph also. |
| 04:22 | We see that the paragraph is now in page 2 of the newsletter. |
| 04:27 | Next we will learn how to highlight a portion of the article in a different colour. |
| 04:33 | Select the paragraph on page 2 by dragging the cursor along the text. |
| 04:38 | In the Formatting toolbar, click on the Highlight color icon drop-down. |
| 04:44 | From the Color palette box, select any color of your choice.
I will select Light Lime 3. |
| 04:52 | Click anywhere else to deselect the text. |
| 04:56 | Observe that the background color of that text portion has changed as per our selection. |
| 05:03 | Sasa tutajifunza jinsi ya kuongeza Banners kwenye newsletter. |
| 05:08 | Pandisha juu na weka kishale mwisho wa column 2 kwenye page 1. |
| 05:15 | Tafuta aikoni ya Stars and Banners kwenye Drawing toolbar.
Bonyeza mshale wa chini kufungua chaguzi zaidi. |
| 05:24 | Tutaona maumbo mbalimbali ya kuchagua.
Tuchague Horizontal scroll. |
| 05:32 | Rudi kwenye column 2. |
| 05:34 | Shikilia kitufe cha kushoto cha panya na buruta umbo kwenye sehemu tupu ya column 2.
Bonyeza sehemu nyingine ili kuondoa uteuzi wa umbo. |
| 05:44 | Sasa tusogeze banner mpya hadi mwanzo wa document |
| 05:50 | Kwanza, nenda page 1 na weka kishale kabla ya neno FOSS kwenye column 1. |
| 05:57 | Sasa bonyeza Enter mara nne. |
| 06:02 | Rudia hatua hizo pia kwa column 2 |
| 06:06 | Rudi kwenye banner na bonyeza juu yake ili kuichagua. |
| 06:11 | Sasa iburute na uiweke kwenye nafasi tupu kati ya columns 1 and 2. |
| 06:19 | Ndani ya banner, tunaweza kuandika maandishi yoyote tunayopenda. |
| 06:24 | Bonyeza mara mbili ndani ya banner na andika, “This is a newsletter.” |
| 06:30 | Sasa bonyeza Ctrl+A kuchagua maandishi yote. |
| 06:35 | Yaweke katikati, ongeza ukubwa wa fonti kuwa 16, na uyafanye maandishi kuwa bold. |
| 06:45 | Bonyeza sehemu yoyote kuondoa uteuzi wa banner. |
| 06:50 | Tunaweza pia kuongeza effects kwenye newsletter yetu. |
| 06:54 | Nitaonyesha jinsi ya kufanya hivyo. |
| 06:58 | Chagua kichwa cha habari FOSS |
| 07:01 | Nenda kwenye menyu ya Format na uchague Character. |
| 07:06 | Kisanduku cha mazungumzo cha Character kitafunguka.
Bonyeza kichupo cha Font Effects. |
| 07:11 | Chini ya sehemu ya Relief or Effects, weka tiki kwenye Blinking
Kisha bonyeza kitufe cha OK. |
| 07:19 | Tunaona neno FOSS liking’aa. |
| 07:23 | Athari hii husaidia kuvutia msomaji wa newsletter ya kidijitali. |
| 07:30 | Sasa tutajifunza jinsi ya kuongeza watermark. |
| 07:34 | Watermark hutumika kuonyesha kuwa hati inahitaji kushughulikiwa kwa njia maalum. |
| 07:40 | Kwa mfano – Confidential, Private, na kadhalika. |
| 07:45 | Hebu nionyeshe jinsi ya kuongeza watermark. |
| 07:49 | Nenda kwenye menyu ya Format katika menu bar na uchague Watermark. |
| 07:55 | Kisanduku cha mazungumzo cha Watermark kitafunguka. |
| 07:58 | Kwenye sehemu ya Text, andika “For internal circulation”. |
| 08:04 | Ongeza transparency hadi 70 % na ubadilishe rangi kuwa Light Red 3
Kisha bonyeza kitufe cha OK. |
| 08:17 | Tutaona Watermark yetu imeongezwa kwenye newsletter. |
| 08:22 | Mwisho, tutajifunza kuhusu kipengele cha Word count katika Writer. |
| 08:27 | Kipengele cha Word count husaidia kudhibiti word count katika document. |
| 08:32 | Husaidia kujua idadi ya maneno kwenye document tuliyoandika. |
| 08:38 | Pia huhesabu kurasa, aya, mistari na herufi |
| 08:45 | Chagua aya ya mwisho tuliyoionyesha kwa rangi awali. |
| 08:50 | Angalia word count inayojitokeza kwenye Status bar. |
| 08:55 | Bonyeza Word na Character count kwenye Status bar |
| 09:00 | Kisanduku cha mazungumzo cha Word Count kitafunguka. |
| 09:03 | Kinaonyesha word count ya maandishi uliyoyachagua.
Na pia kwa document nzima. |
| 09:11 | Kinaonyesha jumla ya Characters including spaces na excluding spaces. |
| 09:18 | Funga kisanduku cha Word Count kwa kubonyeza kitufe cha Close. |
| 09:22 | Hifadhi mabadiliko yote kisha funga faili. |
| 09:25 | Hii inatufikisha mwisho wa mafunzo haya.
Hebu tufanye muhtasari.. |
| 09:30 | Katika mafunzo haya, tutajifunza jinsi ya:
Kuunda newsletters kwa kutumia LibreOffice Writer |
| 09:37 | Kutumia chaguo la Column break |
| 09:40 | Kukagua word count |
| 09:42 | Pia, tulijifunza kuongeza haya kwenye newsletter:
Image na Banner, Text animation na Watermark |
| 09:53 | As an assignment
Fungua faili Newsletter practice.odt lililo katika kiungo cha Code files |
| 10:01 | Tumia muundo wa 3 column Ongeza Banner na andika maandishi Spoken Tutorial ndani yake |
| 10:09 | Video kwenye kiungo hiki inatoa muhtasari wa mradi wa spoken tutorial Tafadhali ipakue na uiangalie |
| 10:17 | Tunaendesha warsha kwa kutumia spoken tutorials na kutoa vyeti Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi |
| 10:26 | Tafadhali tuma maswali yako yenye muda katika jukwaa hili |
| 10:30 | Mradi wa Spoken Tutorial unafadhiliwa na MHRD Serikali ya India |
| 10:35 | Mafunzo haya yalitolewa awali na DesiCrew Solutions Pvt. Ltd. mwaka 2011 |
| 10:43 | Huyu ni Your Name pamoja na timu ya Spoken Tutorial kutoka IIT Bombay tunaaga Asante kwa kutazama |