LibreOffice-Suite-Writer-6.3/C3/Creating-Newsletters/Swahili

From Script | Spoken-Tutorial
Jump to: navigation, search
Time Narration
00:01 Karibu kwenye mafunzo ya Spoken Tutorial kuhusu Creating Newsletters
00:06 Katika mafunzo haya, tutajifunza jinsi ya:
00:10 Kuunda newsletters kwa kutumia LibreOffice Writer
00:14 Tumia chaguo la column break
00:17 Kagua word count
00:20 Tutajifunza pia jinsi ya kuongeza yafuatayo kwenye newsletter:
00:25 Image na Banner

Text animation na Watermark

00:32 Mafunzo haya yameandikwa kwa kutumia

Ubuntu Linux OS toleo 18.04 na LibreOffice Suite toleo 6.3.5

00:45 Faili zilizotumika kwenye mafunzo haya zimewekwa kwako kwenye kiungo cha Code files kwenye ukurasa wa mafunzo haya.
00:53 Tafadhali pakua na futua faili hiyo
00:57 Tengeneza nakala kisha uitumie kwa mazoezi.
01:02 Newsletters ni publications ambazo husambazwa mara kwa mara kwa wanaojisajili.
01:09 Hutumika kuwasiliana habari za hivi punde, mawazo mapya na matukio
01:15 Newsletters kwa kawaida huwa na muundo wa multi-column
01:20 Hii humrahisishia msomaji kuona sehemu tofauti kwa urahisi.
01:26 Newsletter inaweza kuundwa kwa urahisi kwa kutumia LibreOffice Writer.
01:31 Hii hufanya usomaji wa makala kuwa rahisi na wa haraka.
01:36 Fungua faili Newsletter.odt
01:40 Ipo pia kwenye kiungo cha Code files kwa mazoezi..
01:45 Sasa tutajifunza jinsi ya kuongeza columns kwenye document yetu
01:50 Kwenye Sidebar deck, bonyeza aikoni ya Page.
01:55 Bonyeza Styles gear kufungua kisanduku cha Page Style
02:01 Bonyeza kichupo cha Columns.
02:04 Chini ya Settings, chagua aikoni ya 2 columns with equal size.
02:09 Katika Width and Spacing, Autowidth itachaguliwa na Spacing ni 0.5cm.
02:17 Bonyeza kitufe cha Apply, kisha OK.
02:22 Funga Sidebar deck.
02:25 Angalia kuwa document yetu imebadilika kuwa muundo wa 2 columns.
02:31 Vinginevyo, tunaweza kuongeza columns kwa kubonyeza Format menu

Kisha kuchagua chaguo la Columns.

02:42 Sasa tuingize image kwenye newsletter yetu.
02:47 Weka kishale mwishoni mwa column 2 na bonyeza Enter mara tatu.
02:53 Bonyeza aikoni ya Gallery kwenye Sidebar.
02:58 Chini ya kitufe New theme, utaona folda za theme mbalimbali
03:03 Nitachagua folda ya Computers.
03:07 Kisha nichague Computer-Laptop-Black kutoka kwenye orodha.

Bonyeza kulia kisha uchague chaguo la Insert

03:15 Vinginevyo, tunaweza pia drag-and-drop hiyo image.
03:20 Close the Sidebar deck.
03:23 The inserted image fits the width of column 2 into which it was inserted.
03:29 Resize the image as shown.
03:33 So this is how we can add an image to the newsletter column.
03:38 Next, we will learn about the Column break option.
03:42 I will keep the cursor at the beginning of the fourth paragraph.
03:47 Now click on the Insert menu in the menu bar and then on More Breaks.

From the sub-menu select Manual Break.

03:57 Insert break dialog box opens up.
04:00 Under the section Type, select the Column break option and click on the OK button.
04:08 We can see that the paragraph shifted to the second column of the page.
04:13 Repeat the above steps for the last paragraph also.
04:22 We see that the paragraph is now in page 2 of the newsletter.
04:27 Next we will learn how to highlight a portion of the article in a different colour.
04:33 Select the paragraph on page 2 by dragging the cursor along the text.
04:38 In the Formatting toolbar, click on the Highlight color icon drop-down.
04:44 From the Color palette box, select any color of your choice.

I will select Light Lime 3.

04:52 Click anywhere else to deselect the text.
04:56 Observe that the background color of that text portion has changed as per our selection.
05:03 Sasa tutajifunza jinsi ya kuongeza Banners kwenye newsletter.
05:08 Pandisha juu na weka kishale mwisho wa column 2 kwenye page 1.
05:15 Tafuta aikoni ya Stars and Banners kwenye Drawing toolbar.

Bonyeza mshale wa chini kufungua chaguzi zaidi.

05:24 Tutaona maumbo mbalimbali ya kuchagua.

Tuchague Horizontal scroll.

05:32 Rudi kwenye column 2.
05:34 Shikilia kitufe cha kushoto cha panya na buruta umbo kwenye sehemu tupu ya column 2.

Bonyeza sehemu nyingine ili kuondoa uteuzi wa umbo.

05:44 Sasa tusogeze banner mpya hadi mwanzo wa document
05:50 Kwanza, nenda page 1 na weka kishale kabla ya neno FOSS kwenye column 1.
05:57 Sasa bonyeza Enter mara nne.
06:02 Rudia hatua hizo pia kwa column 2
06:06 Rudi kwenye banner na bonyeza juu yake ili kuichagua.
06:11 Sasa iburute na uiweke kwenye nafasi tupu kati ya columns 1 and 2.
06:19 Ndani ya banner, tunaweza kuandika maandishi yoyote tunayopenda.
06:24 Bonyeza mara mbili ndani ya banner na andika, “This is a newsletter.”
06:30 Sasa bonyeza Ctrl+A kuchagua maandishi yote.
06:35 Yaweke katikati, ongeza ukubwa wa fonti kuwa 16, na uyafanye maandishi kuwa bold.
06:45 Bonyeza sehemu yoyote kuondoa uteuzi wa banner.
06:50 Tunaweza pia kuongeza effects kwenye newsletter yetu.
06:54 Nitaonyesha jinsi ya kufanya hivyo.
06:58 Chagua kichwa cha habari FOSS
07:01 Nenda kwenye menyu ya Format na uchague Character.
07:06 Kisanduku cha mazungumzo cha Character kitafunguka.

Bonyeza kichupo cha Font Effects.

07:11 Chini ya sehemu ya Relief or Effects, weka tiki kwenye Blinking

Kisha bonyeza kitufe cha OK.

07:19 Tunaona neno FOSS liking’aa.
07:23 Athari hii husaidia kuvutia msomaji wa newsletter ya kidijitali.
07:30 Sasa tutajifunza jinsi ya kuongeza watermark.
07:34 Watermark hutumika kuonyesha kuwa hati inahitaji kushughulikiwa kwa njia maalum.
07:40 Kwa mfano – Confidential, Private, na kadhalika.
07:45 Hebu nionyeshe jinsi ya kuongeza watermark.
07:49 Nenda kwenye menyu ya Format katika menu bar na uchague Watermark.
07:55 Kisanduku cha mazungumzo cha Watermark kitafunguka.
07:58 Kwenye sehemu ya Text, andika “For internal circulation”.
08:04 Ongeza transparency hadi 70 % na ubadilishe rangi kuwa Light Red 3

Kisha bonyeza kitufe cha OK.

08:17 Tutaona Watermark yetu imeongezwa kwenye newsletter.
08:22 Mwisho, tutajifunza kuhusu kipengele cha Word count katika Writer.
08:27 Kipengele cha Word count husaidia kudhibiti word count katika document.
08:32 Husaidia kujua idadi ya maneno kwenye document tuliyoandika.
08:38 Pia huhesabu kurasa, aya, mistari na herufi
08:45 Chagua aya ya mwisho tuliyoionyesha kwa rangi awali.
08:50 Angalia word count inayojitokeza kwenye Status bar.
08:55 Bonyeza Word na Character count kwenye Status bar
09:00 Kisanduku cha mazungumzo cha Word Count kitafunguka.
09:03 Kinaonyesha word count ya maandishi uliyoyachagua.

Na pia kwa document nzima.

09:11 Kinaonyesha jumla ya Characters including spaces na excluding spaces.
09:18 Funga kisanduku cha Word Count kwa kubonyeza kitufe cha Close.
09:22 Hifadhi mabadiliko yote kisha funga faili.
09:25 Hii inatufikisha mwisho wa mafunzo haya.

Hebu tufanye muhtasari..

09:30 Katika mafunzo haya, tutajifunza jinsi ya:

Kuunda newsletters kwa kutumia LibreOffice Writer

09:37 Kutumia chaguo la Column break
09:40 Kukagua word count
09:42 Pia, tulijifunza kuongeza haya kwenye newsletter:

Image na Banner, Text animation na Watermark

09:53 As an assignment

Fungua faili Newsletter practice.odt lililo katika kiungo cha Code files

10:01 Tumia muundo wa 3 column Ongeza Banner na andika maandishi Spoken Tutorial ndani yake
10:09 Video kwenye kiungo hiki inatoa muhtasari wa mradi wa spoken tutorial Tafadhali ipakue na uiangalie
10:17 Tunaendesha warsha kwa kutumia spoken tutorials na kutoa vyeti Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi
10:26 Tafadhali tuma maswali yako yenye muda katika jukwaa hili
10:30 Mradi wa Spoken Tutorial unafadhiliwa na MHRD Serikali ya India
10:35 Mafunzo haya yalitolewa awali na DesiCrew Solutions Pvt. Ltd. mwaka 2011
10:43 Huyu ni Your Name pamoja na timu ya Spoken Tutorial kutoka IIT Bombay tunaaga Asante kwa kutazama

Contributors and Content Editors

Ketkinaina