LibreOffice-Suite-Writer-6.3/C2/Inserting-images,-hyperlinks,-bookmarks-in-Writer/Swahili
From Script | Spoken-Tutorial
| Time | Narration |
| 00:01 | Karibu kwenye spoken tutorial kuhusu Inserting Images, Hyperlinks & Bookmarks. |
| 00:08 | Katika mafunzo haya tutajifunza jinsi ya kuingiza: |
| 00:12 | Image file |
| 00:14 | Hyperlink |
| 00:16 | Bookmark ndani ya Writer document. |
| 00:20 | Mafunzo haya yameandikwa kwa kutumia
Ubuntu Linux OS version 18.04 na LibreOffice Suite version 6.3.5 |
| 00:32 | Tutaanza kwa kujifunza jinsi ya kuingiza image file kwenye LibreOffice Writer |
| 00:38 | Fungua faili Resume.odt ambalo tulilitengeneza awali. |
| 00:44 | Faili hili na faili la picha limewekwa kwenye kiungo cha Code files katika ukurasa huu wa mafunzo
Tafadhali zipakue na uzifungue. |
| 00:54 | Tengeneza nakala, kisha utumie kwa mazoezi. |
| 00:59 | Ningependa kuingiza image hapa upande wa kulia. |
| 01:04 | Kama ilivyotajwa awali, image hii imetolewa kwenye kiungo cha Code files. |
| 01:10 | Nenda kwenye mstari unaosema Mother’s Occupation Housewife kisha bonyeza Enter mara mbili. |
| 01:17 | Sasa, bonyeza aikoni ya Insert Image kwenye Standard toolbar. |
| 01:22 | Kisanduku cha mazungumzo cha Insert Image kinaonekana. |
| 01:25 | Nenda kwenye eneo ulilohifadhi file lako. |
| 01:29 | Nimefutua na kuhifadhi file kwenye Desktop yangu. |
| 01:33 | Nitachagua image file kwa kubonyeza juu yake. |
| 01:37 | Kisha bonyeza kitufe cha Open kilicho juu kulia |
| 01:41 | Image itaongezwa kwenye hati yetu. |
| 01:45 | Tunaweza resize hii image ili itoshee kona ya juu kulia ya hati ya Resume. |
| 01:51 | Chagua picha
Kwenye image, tunaweza kuona handles nane |
| 01:57 | Kwa kutumia mouse, bonyeza mojawapo ya handles za pembeni. |
| 02:01 | Kisha vuta kuongeza au kupunguza ukubwa wa image |
| 02:04 | Futa mabadiliko haya kwa kubonyeza Ctrl+Z mara mbili. |
| 02:08 | Tunaweza pia scale vipimo vyote kwa kutumia corner handles. |
| 02:14 | Tukifanya hivyo, uwiano unahifadhiwa. |
| 02:18 | Resize image kwa kubonyeza na kuvuta mouse kama hivi. |
| 02:23 | Baada ya kubadilisha ukubwa, bonyeza image na ivute hadi kona ya juu kulia ya hati. |
| 02:30 | Tunaweza pia kuingiza images kwa kubonyeza menyu ya Insert kwenye menu bar. |
| 02:36 | Kisha bonyeza chaguo la Image. |
| 02:40 | Sasa tutajifunza jinsi Hyperlink huundwa katika Writer |
| 02:44 | Hyperlink ndani ya documents ni maneno au phrases yanayoweza kubonyezwa. |
| 02:49 | Ukipobonyeza, tunaruka hadi document mpya au sehemu mpya ndani ya document ya sasa. |
| 02:55 | Kabla ya kuunda hyperlink kwenye faili hili, kwanza tutaumba document mpya ya hyperlinked. |
| 03:02 | Bonyeza aikoni ya New kwenye standard toolbar |
| 03:06 | Hati mpya ya Writer itafunguka na kuitwa Untitled 1. |
| 03:11 | Sasa tutaandika orodha ya hobbies kwenye hati hii mpya. |
| 03:16 | Tuandike heading kama HOBBIES kisha bonyeza Enter. |
| 03:21 | Sasa, tuandike baadhi ya hobbies kama |
| 03:25 | Listening to music, |
| 03:27 | Playing table tennis na Painting moja chini ya nyingine. |
| 03:32 | Kisha hifadhi faili hili kwa kubonyeza pamoja vitufe vya Ctrl + S. |
| 03:37 | Kwenye kivinjari cha faili, nitachagua Desktop kama eneo la kuhifadhi faili. |
| 03:43 | Katika sehemu ya Name ya kisanduku cha mazungumzo, tutaandika jina la faili kama HOBBY |
| 03:48 | Kisha bonyeza kitufe cha Save kilicho juu kulia. |
| 03:52 | Funga faili hili HOBBY.odt kwa kubonyeza aikoni ya X upande wa juu kulia. |
| 03:59 | Sasa tutaweka hyperlink |
| 03:16 | Tuandike heading kama HOBBIES kisha bonyeza Enter. |
| 03:21 | Sasa, tuandike baadhi ya hobbies kama |
| 03:25 | Listening to music, |
| 03:27 | Playing table tennis na Painting moja chini ya nyingine. |
| 03:32 | Kisha hifadhi faili hili kwa kubonyeza pamoja vitufe vya Ctrl + S. |
| 03:37 | Kwenye kivinjari cha faili, nitachagua Desktop kama eneo la kuhifadhi faili. |
| 03:43 | Katika sehemu ya Name ya kisanduku cha mazungumzo, tutaandika jina la faili kama HOBBY |
| 03:48 | Kisha bonyeza kitufe cha Save kilicho juu kulia. |
| 03:52 | Funga faili hili HOBBY.odt kwa kubonyeza aikoni ya X upande wa juu kulia. |
| 03:59 | Sasa tutaweka hyperlink kwenye Resume.odt ambayo itaelekeza kwenye hati hii. |
| 04:06 | Weka kishale mwishoni mwa mstari wa mwisho wa document kisha bonyeza Enter mara mbili. |
| 04:12 | Andika neno HOBBIES. |
| 04:15 | Sasa chagua maandishi kwa kuvuta kishale kwenye neno HOBBIES. |
| 04:20 | Kisha bonyeza Insert menu kwenye menu bar na uchague chaguo la Hyperlink. |
| 04:26 | Kisanduku cha mazungumzo cha Hyperlink kinafunguka. |
| 04:29 | Upande wa kushoto, tunaona chaguzi za Internet, Mail, Document na New Document. |
| 04:37 | Ili kuunda hyperlink kwa text document nyingine, bonyeza chaguo la Document. |
| 04:43 | Hapa kuna sehemu mbili: Document na Target in Document. |
| 04:50 | Tutajifunza kuhusu kipengele cha Target in Document kadri mafunzo yanavyoendelea. |
| 04:56 | Bonyeza aikoni ya folder upande wa kulia wa sehemu ya Path. |
| 05:00 | Chagua eneo la Desktop. |
| 05:03 | Telezesha chini na tafuta hati mpya HOBBY.odt ambayo tuliunda. |
| 05:09 | Sasa, bonyeza mara mbili kwenye faili “HOBBY.odt”. |
| 05:13 | Tunaona kwamba path ya faili inaongezwa kwenye sehemu ya Path. |
| 05:18 | Chini, bonyeza kitufe cha Apply kwanza kisha Close. |
| 05:24 | Tunaona kuwa maandishi "HOBBIES" yamepigiwa mstari na ni ya rangi ya buluu. |
| 05:30 | Hii inamaanisha kuwa maandishi hayo sasa ni hyperlink. |
| 05:34 | Sasa, weka kishale kwenye neno HOBBIES. |
| 05:38 | Kisha bonyeza kitufe cha Ctrl na kitufe cha kushoto cha mouse kwa pamoja. |
| 05:42 | Tunaona kuwa faili HOBBY.odt linafunguka. |
| 05:46 | Bonyeza aikoni ya X iliyo juu kulia kufunga faili hili. |
| 05:51 | Sasa, hebu tujifunze jinsi ya kuongeza Bookmarks. |
| 05:55 | Bookmark ni maandishi yanayoonyesha nafasi fulani ndani ya paragraph au sehemu ya maandishi. |
| 06:02 | Bookmarks ni muhimu tunaposoma documents kubwa. |
| 06:06 | Hutusaidia kuweka alama na baadaye kurudi kwenye kurasa au paragraphs fulani ndani ya document. |
| 06:13 | Nitachagua maandishi RAMESH. |
| 06:16 | Kisha bonyeza aikoni ya Insert Bookmark kwenye Standard toolbar. |
| 06:21 | Kisanduku cha mazungumzo cha Bookmark kinafunguka. |
| 06:24 | Sehemu ya maandishi inaonyesha Bookmark 1. |
| 06:28 | Tunaweza kuweka jina letu la customised kama tunataka. |
| 06:32 | Nitakiacha kama lilivyo. |
| 06:35 | Bonyeza kitufe cha Insert upande wa kulia wa sehemu hii. |
| 06:39 | Kisanduku cha mazungumzo cha Bookmark kinafungwa moja kwa moja. |
| 06:43 | Sasa nitachagua maandishi mengine ndani ya hati, tuseme SELF EMPLOYED. |
| 06:49 | Tena, bonyeza aikoni ya Insert Bookmark kwenye Standard toolbar. |
| 06:55 | Wakati huu kisanduku kinaonyesha bookmark tuliyounda awali kwenye orodha chini. |
| 07:01 | Sehemu ya maandishi sasa inaonyesha Bookmark 2. |
| 07:08 | Nitakiacha kama ilivyo. Kisha bonyeza kitufe cha Insert upande wa kulia wa sehemu hii. |
| 07:13 | Bonyeza aikoni ya Insert Bookmark kwenye Standard toolbar. |
| 07:18 | Wakati huu kisanduku kinaonyesha bookmarks mbili. |
| 07:22 | Bonyeza mojawapo kisha bonyeza kitufe cha Go to kilicho chini ya kisanduku. |
| 07:28 | Bonyeza kitufe cha Close. |
| 07:31 | Kishale kinahamia kwenye sehemu ya maandishi iliyoainishwa ndani ya document. |
| 07:36 | Bonyeza aikoni ya Insert bookmark kwenye Standard toolbar. |
| 07:41 | Sasa bonyeza bookmark nyingine. Kisha bonyeza kitufe cha Go to kilicho chini ya kisanduku. |
| 07:49 | Bonyeza kitufe cha Close. |
| 07:52 | Kishale sasa kimehamia kwenye sehemu nyingine ya maandishi ndani ya document. |
| 07:58 | Chunguza mwenyewe kazi ya vitufe vingine kwenye kisanduku cha mazungumzo. |
| 08:03 | Hivi ndivyo tunavyoweza kuingiza na kutumia Bookmarks katika Writer document. |
| 08:09 | Bonyeza Ctrl+S kuhifadhi faili la Resume.odt. |
| 08:14 | Kisha bonyeza aikoni ya X upande wa juu kulia kufunga dirisha. |
| 08:20 | Kuna kipengele kingine katika Hyperlinks kinachoitwa Target in document. |
| 08:25 | Hii humsaidia msomaji kupata sehemu fulani ndani ya target document. |
| 08:30 | Fungua faili HOBBY.odt. |
| 08:33 | Ndani ya document, chagua neno tennis. |
| 08:37 | Bonyeza Insert kwenye menu bar na uchague Bookmark. |
| 08:42 | Kwenye kisanduku cha Bookmark, badala ya Bookmark1, andika tennis. |
| 08:48 | Sasa bonyeza kitufe cha Insert kilicho upande wa kulia. |
| 08:52 | Tuhifadhi faili hili kisha tulifunge. |
| 08:56 | Sasa fungua tena faili Resume.odt. Chagua neno HOBBIES. |
| 09:04 | Bonyeza Insert kwenye menu bar na uchague Hyperlink. |
| 09:09 | Kisanduku cha mazungumzo cha Hyperlink kinafunguka. |
| 09:12 | Bonyeza Document upande wa kushoto. |
| 09:15 | Katika sehemu ya Path, tunaona njia kamili ya faili HOBBY.odt. |
| 09:21 | Chini ya sehemu ya Target in document, bonyeza aikoni ya duara upande wa kulia. |
| 09:27 | Orodha ya Target in document inafunguka. |
| 09:31 | Panua Bookmarks kwa kubonyeza mshale na uchague tennis bookmark. |
| 09:37 | Bonyeza kitufe cha Apply kisha Close. |
| 09:42 | Katika kisanduku cha Hyperlink, kwenye sehemu ya Target, tunaona maandishi tennis. |
| 09:48 | Tunaona pia kuwa path ya faili HOBBY.odt imeingizwa kwenye sehemu ya URL. |
| 09:54 | Chini kabisa, bonyeza kwanza Apply kisha Close. |
| 10:00 | Weka kishale kwenye neno HOBBIES. Kisha bonyeza pamoja kitufe cha Ctrl na kitufe cha kushoto cha mouse. |
| 10:06 | Angalia kuwa sasa kishale kiko karibu na neno tennis kwenye faili HOBBY.odt. |
| 10:12 | Hii ni huduma muhimu endapo Target file ni kubwa na ina kurasa nyingi. |
| 10:18 | Funga faili HOBBY.odt kwa kubonyeza aikoni ya X. |
| 10:22 | Rudi kwenye Resume.odt. |
| 10:26 | Hifadhi faili kwa kubonyeza Ctrl + S. |
| 10:30 | Kisha funga faili kwa kubonyeza aikoni ya X. |
| 10:34 | Hii inatufikisha mwisho wa mafunzo haya. Hebu tufanye muhtasari. |
| 10:39 | Katika mafunzo haya, tulijifunza jinsi ya kuingiza: Image file, Hyperlink, Bookmark ndani ya Writer document. |
| 10:48 | Kama kazi ya nyumbani, Fungua faili practice.odt. |
| 10:52 | Ongeza image ya chaguo lako kwenye faili. |
| 10:56 | Unda hyperlink ya kufungua tovuti ya www.google.com unapobonyeza image ndani ya faili. |
| 11:04 | Weka angalau bookmarks mbili. |
| 11:07 | Video ifuatayo inatoa muhtasari wa mradi wa Spoken Tutorial. Tafadhali ipakue na uitazame. |
| 11:14 | Tunaendesha warsha kwa kutumia spoken tutorials na kutoa vyeti. |
| 11:18 | Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi. |
| 11:21 | Tuma maswali yako yenye muda mahususi kwenye jukwaa hili. |
| 11:25 | Mradi wa Spoken Tutorial unafadhiliwa na MHRD Serikali ya India. |
| 11:30 | Mafunzo haya yalitolewa awali na DesiCrew Solutions Pvt. Ltd. mwaka 2011. |
| 11:37 | Huyu ni Your Name pamoja na timu ya Spoken Tutorial kutoka IIT Bombay tunaaga. |
| 11:39 | Asante kwa kutazama. |